Nyumbani » 13/07/2012 Entries posted on “Julai 13th, 2012”

Zaidi ya wakimbizi 3, 300 wa Syria wakimbilia Jordan kutoroka mapigano zaidi

Kusikiliza / syria refugee

Zaidi ya watu 3, 300 raia wa Syria wamekimbilia Jordan katika wiki moja ilopita kufuatia ghasia zaidi nchini mwao, na kupelekea mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu kuongeza juhudi zao za kukabiliana na ongezeko la wakimbizi.  Kwa sasa, zaidi ya laki moja ya raia wa Syria ama wameandikishwa kama wakimbizi, au wanasaidiwa katika mataifa jirani, [...]

13/07/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Dr. Asha-Rose Migiro ateuliwa kuwa Mwakilishi Maalum kuhusu HIV/AIDS barani Afrika:Ban

Kusikiliza / Asha-Rose Migiro

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amemtetua aliyekuwa naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dr. Asha-Rose Migiro kuwa mwakilishi wake maalum wa maswala ya HIV na UKIMWI barani Afrika. Dr. Migiro atairithi nafasi ya Bi Elizabeth Mataka, ambaye amepongezwa na Bwana Ban kwa kazi yake ya kufana tangu alipoteuliwa katika nafasi hiyo [...]

13/07/2012 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Wataalamu wa UM Wachunguza Visa vya Kutoweka kwa Lazima

visa vya kutoweka

Kundi la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masusla ya kutoweka kwa watu kwa lazima au kwa hiari limechunguza ripoti 13 za kutoweka kwa lazima pamoja na visa vingine 200 vikiwemo vya hivi majuzi. Wataalamu hao watano huru walichunguza kesi hizo zinazohusu mataifa 32 kote ulimwenguni. Waatalamu hao pia walijadili madai yaliyowasilishwa kuhusu vizingiti vivyozuia utekelezwaji wa [...]

13/07/2012 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mwanadiplomasia wa UM apongeza hatua ya Saudi Arabia kupeleka wanamichezo wanawake Olympic

Kusikiliza / Bw. Wilfried Lemke

Mwanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa anayehusika na michezo kwa amani amekaribisha uamauzi uliochukuliwa na serikali ya Saudia Arabia ambayo imetangaza kuwapeleka wanamichezo wa kike kwenye michuano ya Olimpiki inayotazamiwa kuanza baadaye mwezi huu huko London, Uingereza. Wilfried Lemke amepongeza hatua hiyo akisema kuwa inafanana na ile iliyochukuliwa na serikali za Brunei na Qatar ambazo pia [...]

13/07/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Wengi Wanahatarisha Maisha wakijaribu Kukatiza Pwani ya Caribbean

Kusikiliza / UNHCR nchini Haiti

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR limeelezea wasiwasi wake kutokana na matukio ya kupoteza maisha inayowaandama wale wanaochukua jaribio la kukatiza katika pwani ya Caribbean wakikimbia hali ngumu nchini Haiti. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa mwamake mmoja alifariki dunia pale boti alilokuwa akisafiria lilipozama maji . Boti hilo lilikuwa limechukua watu [...]

13/07/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Antonio Guterres Akamilisha Ziara yake nchini Myanmar

Kusikiliza / Antonio Guterres

Mkuu wa shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR Antonio Guterres amekamilisha ziara yake ya siku mbili nchini Mynmar ambapo amewahakikishia kujitolea kwa Umoja wa Mataifa katika kutoa misaada ya kibindamu kwa watu kwenye jimbo la Rakhine bila ya ubaguzi. Amesema kuwa hatua hiyo itachangia katika kuleta uiano kati ya jamii akiongeza kuwa [...]

13/07/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Pillay akaribisha Tangazo la Malaysia Kubadili Sheria ya Uchochezi

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu, Navi Pillay, amekaribisha tangazo la serikali ya Malaysia la kuiondoa sheria ya uchochezi katika katiba yake, na badala yake kuweka sheria ya itifaki au utungamano wa kitaifa. Bi Pillay amesema sheria hiyo ya mwaka 1948, na ambayo ilikuwa ya kikoloni, ilibana uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa [...]

13/07/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Japan na IOM Zaanzisha Kituo cha Ushauri Nasaa kwa Waathirika wa Machafuko ya Sri Lanka

Kusikiliza / walioathirika vita nchini Sril Lanka

Serikali ya Japan imefadhilia uanzishwaji wa kituo cha taalumu za ushauri nasaa kwa mamia ya wananchi walioathiriwa na mapigano yaliyodumu kwa miaka kadhaa huko kaskazini mwa Sri Lanka. Kituo hicho ambacho kinaratibiwa na shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na uhamiaji IOM, kitakuwa na kazi ya kuwafundisha na kuwapa stadi mpya kwa waliokuwa maafisa wa [...]

13/07/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UM Watoa Wito wa dola milioni 87 za Kusaidia Watu nchini Yemen

Kusikiliza / wananchi wa Yemen

Umoja wa Mataifa unasema kuwa mzozo unaondelea katika eneo la Abyan nchini Yemen na eneo la kusini umeadhiri pakubwa usambazaji wa misaada na kuzua hali kuendelea kuwa mbaya zaidi. Unasema kuwa Kwa sasa kinachohitajika kufanywa ni kutolewa kwa misaada ya kibinadamu za dharura. Kundi la Umoja wa Mataifa la kutoa huduma za kibinadamu nchini humo [...]

13/07/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Annan Alaani Vikali Mauaji ya Halaiki katika kijiji cha Tremseh Syria

Kusikiliza / Kofi Annan

Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa na Umoja wan chi za Kiarabu kuhusu Syria, Kofi Annan, amelaani vikali mauaji ya zaidi ya watu 200 katika kijiji cha Tremseh, kati mwa jimbo la Hama nchini Syria. Katika taarifa yake mapema Ijumaa, Bwana Annan ameelezea mshtuko na masikitiko yake kufuatia habari za mapigano makali na idadi kubwa [...]

13/07/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Helikopta za UM Zakabiliana na Waasi wa M23 Kivu Kaskazini, DRC

Kusikiliza / Roger Meece

  Ndege za aina ya helikpota za Umoja wa Mataifa, zimekabiliana na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo mnamo siku ya Alhamis, kwa mujibu wa Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Roger Meece. Bwana Meece amesema, hali mashariki mwa Kongo imelazimu matumizi ya helikopta hizo, [...]

13/07/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yaboresha Makao kwa Wahamiaji Waliokwama kwenye mpaka wa Afrika Kusini

Kusikiliza / wahamiaji waliokwama kwenye mpaka Afrika Kusini

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM hii leo limezindua mradi wa kujenga na kuboresha makao kwa karibu watoto 120 wasio na wa kuwaongoza pamoja na wanawake 50 wahamiaji kwenye eneo la Misuna kati ya mpaka wa Afrika Kusini na Zimbabwe. Mradi huo wa gharama ya dola 200,000 unaofadhiliwa na tume ya Ulaya na shirika la [...]

13/07/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuwapa watu Ardhi na Mifumo ya Ardhi yatajwa kuwa Changamoto Katika Kuimarisha Amani nchini Rwanda

Kusikiliza / Raquel Rolnik

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwenye haki ya kuwa na makao Raquel Rolnik hii leo ameyataja masuala ya kuwapa watu makao na umiliki wa ardhi kama changamoto katika kuimarisha amani na utulivu nchini Rwanda. Akizungumza baada ya kukamilisha ziara yake nchini Rwanda Rolnik amesisistiza kuwa kuhamishwa kwa watu kunakoendelea sehemu za vijijini na kutekekezwa [...]

13/07/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP Yapanga kutoa Misaada ya Chakula nchini Malawi

Kusikiliza / wananchi wa Malawi

Zaidi ya watu milioni 1.6 nchini Malawi huenda wakahitaji misaada ya chakula siku za usoni kutokana ma mavuno duni na kupanda kwa bei ya vyakula, hii ni kulingana na shirika la mpango wa chakula duniani WFP. Karibu wilaya 15 kati ya wilaya 28 nchini Malawi zinaripotiwa kuaathiriwa na hali hiyo. WFP inasema kuwa hali ya [...]

13/07/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uchafuzi wa Hali ya Hewa kutokana na Matumizi ya Mafuta ya Petroli na Diesel

Kusikiliza / gari inayotumia petroli

Wakati ulimwengu unapojitahidi kwa kila njia kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa na mabadiliko ya hali ya hewa bado kuna changamoto nyingi hasa kutokana na uchafuzi wa hewa unaotokana na gesi na vyombo vinavyototumia mafuta ya petroli na diesel. Hata kama nchi nyingi zimepiga hatua katika kuhakikisha kuwa yameondoa madini yanoyoathiri afya za wanadamu na [...]

13/07/2012 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Juni 2013
T N T K J M P
« mei    
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930