Mkutano wa RIO+20 ni muhimu kwa siku za usoni: BAN

Kusikiliza /

KM Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amesema mkutano wa Rio+20 utataoa fursa kwa siku nzuri za baadaye kwa wote kote duniani.

Akihutubia mkutano wa baraza kuu la kundi la mataifa yaliyostawi na yanayoinukia kiuchumu la G20 mjini Los Cabos nchini Mexico Ban amesema kuwa bado uchumi wa dunia hautabiriki.

Amesema kuwa sarafu ya Euro huenda ikaathiri uchumi na maisha ya watu wengi kote duniani. Ban ameongeza kuwa uchumi kwenye baadhi ya nchi zilizostawi umeshuka huku wa nchi zingine ukiwa tayari umekwama.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2013
T N T K J M P
« apr    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031