Bei ya chakula imeshuka kote duniani:FAO

Kusikiliza /

Bei ya chakula imeshuka

Bei ya chankula kote duniani imeshuka ghafla mwezi Mei kwa sababu ya kuongezeka uzalishaji, uchumi kuendelea kuyumbayumba na kupanda kwa dhamana ya dola ya Kimarekani, limesema leo shirika la Mazao na Chakula, FAO.

Kipimo cha bei ya chakula cha FAO, kinachotizama mabadiliko katika bei ya kapu la bidhaa za chakula ulimwenguni, kilishuka kwa asilimia nne mwezi Mei. Kipimo hicho kwa wastani kilifikia pointi 204, na hivyo kushuka kwa pointi 9 tokea mwezi Aprili. George Njogopa anaripoti

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Juni 2013
T N T K J M P
« mei    
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930