Nyumbani » 04/06/2012
Entries posted on “Juni 4th, 2012”
Kusikiliza /

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa nchi za Kiarabu nchini Syria Kofi Annan ameonya kuhusuiana na ghasia zinazoendelea kushuhudiwa nchini Syria akiongeza kuwa ghasia hizo tayari zimezua madhara makubwa nhini humo ambapo ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kufanya jitihada za kuhakikisha mpango wa pande sita umetekelezwa. Akihutubia kamati ya mawaziri wa [...]
04/06/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameyatolea mwito mataifa duniani kongeza kasi ya kukabiliana na wimbi la vitendo vya kigaidi huku akitaja vipaumbele kadhaa vinavyoweza kuchagiza ushindi juu ya kadhia hiyo. Akizungumza kwenye mkutano wa bodi ya washauri juu ya kukabiliana na vitendo hivyo vya ugaidi huko Jeddah Saudia Arabia, Ban amesema kuwa [...]
04/06/2012 | Jamii: | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP, linazindua shindano la kimataifa la video kwa vijana kama sehemu ya kuadhimisha miaka 25 ya kulinda tabaka la Ozone, mnamo Septemba mwaka huu. Vijana watahitajika kutengeza video fupi mno kuhusu Mkataba wa Montreal, juu vitu vinavyoathiri tabaka la Ozone. Video hiyo itahitajika kuangazia sehemu yoyote ya Mkataba [...]
04/06/2012 | Jamii: Rio+20, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, Navi Pillay, ameanza ziara yake ya siku nne nchini Pakistan leo kufuatia mwaliko wa serikali ya nchi hiyo. Ziara hiyo ya siku nne ndiyo yake ya kwanza katika nchi hiyo tangu alipochukua nafasi ya Kamishna Mkuu mwaka 2008. Wakati wa ziara yake, Mkuu huyo wa [...]
04/06/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO, linaandaa msururu wa mikutano ili kuyasaidia mataifa ya Afrika yenye kukumbwa na migogoro. Mkutano wa kwanza wa aina hii unafanyika mjini Abidjan, Ivory Coast tokea hadi kesho. Mkutano wa leo wa Kimataifa Abidjan, kuhusu desturi ya kuwa na amani Afrika ya Magharibi, umeandaliwa kwa [...]
04/06/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani zimeanza leo chini ya kivuli cha sanamu maarufu ya Kristo ya Rio de Janeiro, wakati serikali ya Brazil kwa ushirikiano na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP, imezindua mpango wa Pasipoti ya Kijani Kibichi, wenye lengo la kuchagiza kubadili tabia kwa wageni ndani na nje ya [...]
04/06/2012 | Jamii: Habari za wiki, Rio+20 | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Hali ya wafanyakazi katika maeneo ya Waarabu yanayokaliwa inatia uwoga na bado ni mbaya, kwa mujibu wa ripoti ya mwaka ya shirika la kazi duniani ILO, iliyowasilishwa kwenye mkutano wa shirika hilo mjini Geneva. Ripoti inasema hali hii imesababishwa na ukweli wa kukaliwa kwa maeneo hayo na upanzi wa makazi ya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa [...]
04/06/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Siku tatu za maombelezo ya kitaifa zimetangazwa kuanzia Jumatatu nchini Nigeria kufuatia ajali ya ndege iliyouwa watu zaidi ya 150 Jumapili. Ndege hiyo aina ya Boeing MD-83 ilianguka eneo la makazi ya watu mjini Lagos kabla ya kulipuka, na wafanyakazi wa uokozi wamekuwa wakiendelea kutoa maiti za watu kwa usiku kucha. Kwa mujibu wa duru [...]
04/06/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameelezea hofu yake kuhusu kuzorota kwa hali ya kibinadamu katika jimbo la Upper Nile la Sudan ya Kusini, ambako shirika hilo la UNHCR na wadau wengine wa kutoa huduma za kibinadamu, wanakabiliana na ongezeko la ghafla la idadi ya wakimbizi wanaowasili kutoka jimbo [...]
04/06/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Mkuu wa shirika la kimataifa la nguvu za Atomic IAEA Yukiya Amano ameitaarifu bodi ya magavana wa shirika hilo kwamba mkutano baiana ya Irani na IAEA umepangwa kufanyika Juni 8 mjini Vienna. Amano amesema ameikaribisha Iran kutia saini na kutekeleza mtazamo maalumu haraka iwezekanavyo na kutoa fursa mapema kwa ukaguzi wa eneo la Pachin. Shirika [...]
04/06/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Kuna haja ya haraka ya kukabiliana na ugaidi, kwani ugaidi unaendelea kuathiri maeneo yote duniani, na umeharibu maisha ya mamilioni ya watu na kufuta matumaini ya amani na maendeleo amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon. Akizungumza Jumapili kwenye mkutano wa pili wa bodi ya shauri wa kituo cha Umoja wa Mataifa [...]
04/06/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »