Majaribio ya matumizi ya Nyuklia ni moja ya agenda ya Ban huko Austrian
Kusikiliza /Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anatazamiwa kuwa na ziara ya siku kadhaa nchini Australia ambako anatazamiwa kujadilia masuala ya usalama na namna ya kukabiliana na wimbi la madawa ya kulevya.
Ban anatazamiwa kuwasilini mjini Vienna hapo February 15 na baadaye kufungua mkutano wa mawaziri unaozingatia mkataba wa ushirikiano wa Paris juu ya kudhibiti madawa ya kulevya.
Pia atakuwa na majadiliano na maafisa wa serikali juu ya kukabiliana na uzalishaji wa nukilia. Suala la kukabili kusambaa kwa madawa ya kulevya.
