Ban asikitikia ghasia za kwenye uwanja wa mpira Misri

Kusikiliza /

Katibu Mkuu Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moom ameelezea masikitiko yake kufuatia ghasia zilizozuka kwenye uwanja wa mpira na kusabisha watu zaidi ya 70 kupoteza maisha nchini Misri.

Katika tukio hilo lililohusisha timu mbili zenye upinzani wa jadi, watu wengi kadhaa walijeruhiwa wakati mamia wengine wakiwachwa katika hali ya kihoro.

Ghasi hizo zilizoka katika uwanja wa Jiji la Port baina ya mashabiki wa klabu ya al-Masry dhidi ya al-Ahly.

Katika taarifa yake juu ya tukio hilo, Ban amesema kuwa anaamanini mamlaka za Misri zitachukua mkondo sahihi kushughulikia kadhia hiyo.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

Kuungana

 

Mei 2012
T N T K J M P
« apr    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031