Habari za wiki

Uharibifu wa chakula na mabadiliko ya hali ya hewa ndiyo Dhamira Kuu ya Kongamano la FAO »

FAO

Kongamano la siku tano la Shirika la Chakula na Kilimo FAO, limeanza mjini Roma, Italia. Kongamano hilo la Mei…

15/05/2012 / Kusikiliza /

Wakimbizi wa Burundi waelezea changamoto zinazowaandama kwenye makazi nchini Tanzania »

raia wa Burundi

Waliokuwa wakimbizi wa Burundi ambao sasa wamepatiwa uraia wa Tanzania wameelezea changamoto zinazowakabili wakati huu wakiendelea na maisha ya…

15/05/2012 / Kusikiliza /
Mkutano wa UM UNWSIS waanzisha muongo wa kupima maendeleo » Rio+20 ni fursa ya kuiweka dunia katika njia muafaka:Zukang »

Mahojiano na Makala za wiki

Serikali ya Tanzania yatoa Uraia kwa Wakimbizi »

wakimbizi wa Tanzania

Serikali ya Tanzania imetangaza kuwapatia uraia wakimbizi zaidi wa Burundi wapatao 54,000 ambao wako katika kambi ya Bulyahul Mkoani Tabora. Wakimbizi hao…

14/05/2012 / Kusikiliza /

Vyombo vya Habari bado vinakandamizwa nchini Burundi »

world press freedom

Wakati dunia imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari hivi karibuni, kwa taifa la maziwa makuu la Burundi, ilikuwa…

11/05/2012 / Kusikiliza /
Juhudi zinahitajika kuleta usawa na kumaliza vita Afrika:Dr Mhando » Machafuko yanasalia kuwa tatizo kubwa barani Afrika anasema mwanazuoni wa Tanzania Dr Lindah Mhando »

Afisa wa UM aahidi msaada kutoka UM kusaidia mkoa wa Kivu »

msaada

Afisa wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya binadamu katika jamhuri ya kidemokrasia ya congo(DRC), Bw. Fidèle Sarassoro, anaahidi kutoa msaada wa…

10/05/2012 / Kusikiliza /

Kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari »

siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari

Uhuru wa kujieleza ni moja ya haki muhimu kwa watu, na ni uhuru unaozidi uhuru wa aina yoyote ile na kutoa msingi…

03/05/2012 / Kusikiliza /
Nchi nyingi masikini hazijapa suluhu ya malaria » Matarajio na mapendekezo ya raia kwa mkutano wa UNCTAD »

Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

baraza la usalama

Baraza la Usalama limelaani vikali mashambulizi dhidi ya MONUSCO DR Congo »

Baraza la Usalama limealaani vikali mashambulizi ya Jumatatu dhidi ya mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, MONUSCO ambayo yamejeruhi vibaya walinda amani 11 wa kutoka…

15/05/2012 / Kusikiliza /

Kamanda wa LRA anayehusika na Ukiukaji wa Haki dhidi ya Watoto akamatwa »

Radhika Coomaraswamy

Jeshi la Uganda limemkamata Caesar Acellam Otto, mmoja kati ya viongozi wa juu wa kijeshi wa kundi la Lord's Resistance Army LRA.…

14/05/2012 / Kusikiliza /

Rais wa Baraza Kuu akutana na Kofi Annan kujadili Syria: »

Nassir Abdulaziz Al-Nasser

Rais wa Baraza Kuu Nassir Abdulaziz Al-Nasser leo amekutana na mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa nchi za Kiarabu,…

08/05/2012 / Kusikiliza /
Mgogoro wa Guinea-Bissau unaathiri watu na uchumi » Kongamano la vijana la UM laangazia ajira kwa vijana » Sudan na Sudan Kusini kukabiliwa na vikwazo endapo mapigano hayatokoma »
Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

MATAYARISHO YA RIO+20

Malengo ya Maendeleo ya Milenia

Kuungana

Mawasiliano mbalimbali

  • Ujumbe wa UM unaweza kuwa tu nafasi ya utulivu nchini Syria

    Kucheza video

  • Siku ya kimataifa ya Jazz:UNESCO

    Kucheza video

  • Fedha zaidi zahitajika kutokomeza ugonjwa wa Malaria:UM

    Kucheza video

  • Kuadhimisha miaka 18 ya mauaji ya kimbari Rwanda:Ban

    Kucheza video

  • UM watoa heshima kwa wale wanaotetea ukweli na haki ya utumwa

    Kucheza video

  • Siku ya Maji duniani:Matumizi endelevu ya rasilimali muhimu duniani

    Kucheza video

  • Mwaka mmoja baada ya tetemeko la ardhi na tsunami nchini Japan:Ban

    Kucheza video

  • Siku ya Wanawake duniani 2012:Michelle Bachelet

    Kucheza video

  • UM kuongeza shinikizo kukomesha mila ya Ukeketaji

    Kucheza video

  • Baraza la haki za binadamu limetoa wito wa kuzingatia uhuru duniani kote

    Kucheza video

  • Kupambana na unyanyasaji wa kijinsia:UM

    Kucheza video

  • Kuinua maendeleo vijijini:UM

    Kucheza video

  • Ukame Sahel

    Kucheza video

  • Ban atoa wito katika mkutano wa biashara wa kukumbatia makampuni ya uendelevu

    Kucheza video

Hapa na pale

wanawake wapiga kura

Waalgeria wachagua idadi kubwa ya wanawake bungeni »

Jumla ya wanawake 145 wamechaguliwa kama wabunge kwenye uchaguzi uliondaliwa juma lililopita nchini Algeria. Kulingana na chama cha kimataifa cha wabunge IPU ni kwamba Algeria ndilo taifa la kwanza kwenye…

15/05/2012 / Kusikiliza /

Ubaguzi na ubaguzi dhidi ya wageni bado unaendelea:Sidibe »

Michel Sidibe

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya Ukimwi UNAIDS Michele Sidibe amesema ubaguzi na ubaguzi dhidi ya…

15/05/2012 / Kusikiliza /

Mwendesha mashitaka wa ICC ashinikiza kukamatwa kwa waasi wanaofanya uhalifu DR Congo »

ICC

Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC anatafuta makosa mapya ya uhalifu wa vita dhidi ya kiongozi wa waasi…

15/05/2012 / Kusikiliza /
WHO inatafuta maoni ya wataalamu kwa ajili ya uainishaji wa magonjwa » Ban apongeza kuondolewa kwa wanajeshi wa Sudan Kusini kutoka Abyei » Bi Pillay asema ni sawa Sudan Kusini kuzingatia kulinda haki za binadamu, ingawa juhudi zaidi zastahili kufanywa » ITU yafanya mabadiliko kwenye mawasilino ya mtandao »

Taarifa maalumu

SIKU YA REDIO DUNIANI